PASS Trust – AIC Project Handover
Foundation stone laying ceremony for the K4 Factory expansion
Tigo rebranded to Yas
TBL launches 2025 ESG report

Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) imezindua Ripoti yake ya Uendelevu wa Mazingira, Jamii na Utawala (ESG) ya mwaka 2024, ikieleza miradi mbalimbali iliyotekeleza kwa lengo la kuleta maendeleo endelevu. Uzinduzi huo umefanyika leo Jumatano Septemba 24, 2025 jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau kutoka sekta binafsi na umma, huku Balozi wa Ubelgiji […]